Monday, August 24, 2009

ANZA SIKU YAKO VYEMA

MITH 15:4
Ulimi safi ni mti wa uzima; bali ukorofi wa ulimi huvunja moyo.
Biblia inasema kama mtu atauzuia ulimi wake, anaweza kujizuia nafsi yake.
Pia unaweza kuona katika kitabu cha Yak 3:2 maana twajikwaa sisi sote pia katika mambo mengi, mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, awezaye kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu।
Hebu tusaidiane watu wa Mungu, lijamu ni nini?

No comments:

Post a Comment