UKO SALAMA
Mtumaini bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe. Katika njia zako zote mkiri yeye, naye atanyosha mapito yako Mithali 3:5-6
Mungu yeye sio wa part –time life style. Bilblia imeweka wazi 1 Petro 5:8 Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu ibilisi, kama samba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze. Lakini Mungu ametupa rehema. Endelea kusoma 1Petro 9,10
No comments:
Post a Comment